MAMBO YAMEKARIBIA KUKAMILIKA KITUO CHA MBEZI MWISHO.
Mambo yameshaiva kama unavyojionea mwenyewe. 'Vijana wapo kazini wanamalizia malizia'
Kituo cha Mbezi mwisho kilichopo barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam kipo kwenye hatua za mwisho kuisha kama kinavyoonekana kwenye picha. Hakika kituo hiki kitakapokamilika na kuanza kutumika kitapunguza foleni.
No comments:
Post a Comment