Pages

Thursday, 3 September 2009

FA NA MR. II WAJA NA 'DUNIA YAKO'

Wanamuziki wakali wa miondoko HIP-HOP Bongo, Mr II a.k.a Sugu na Mwana FA wakiwa ndani ya S&S Studio in Brooklyn - New York, Marekani wakirekodi track yao mpya 'Dunia Yako' itakayokuwa kwenye album ya VETO.... hivyo wapenzi wa mambo yetu haya kaeni mkao wa kula. Picha kutoka katika kurasa ya picha ya Mwana Fa ndani ya wanja la kujidai la FaceBook.

No comments:

Post a Comment