Pages

Tuesday, 9 September 2008

MBUGA ZETU

Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro
Tembo...
Nyumbu...
Pundamilia wakiwa katika mbuga ya Serengeti
Hifadhi ya Taifa ya Serengeti
Pamoja na serikali yetu kutangaza kuwa suala la kutembelea mbuga zetu ni la kila mmoja bado watu hawajapata mwamko juu ya hilo na kuona kuwa utalii ni wawazungu tu. Kutembelea Mbuga zetu ni Tsh.1500/= tu kwa Mtanzania.

No comments:

Post a Comment