Pages

Tuesday, 9 September 2008

KOVA USO KWA USO NA JOHN MASHAKA

Kamanda wa kanda maalum ya Dar es Salaam akiwa na waandaaji wa tamasha la kuchangia watu wanaoishi katika mazingira magumu. Hiyo ndiyo namba yangu ya simu, inaonekana hayo ndiyo maneno aliyokuwa akizungumza kamanda Kova alipokutana na John Mashaka.
Bw.John Mashaka akijadili jambo na kamanda Kova.

No comments:

Post a Comment