WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS IKULU MHE. JAMAL NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI MHE. STERGOMENA TAX WAKUTANA
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt.Stergomena Tax akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe. Jamali Kassim Ali, alipofika Ofisini kwake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri Ikulu Jijini Zanzibar leo 17-11-2022.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment