Ajali ya kujitakia kwa kufundishana gari imetokea muda huu eneo la Samora jijini Dar baada ya muosha magari kumuachia binti rafiki yake ambaye alikuwa hajui kuendesha.

Tukio hilo limetokea muda huu baada ya muosha magari kumpa binti asiyejua kuendesha gari na kuingia kwenye gari na kukanyaga mafuta na kusababisha ajali ya kugonga gari pamoja na kusababisha uharibifu wa gari lingine.

Nikiwa kama shuhuda eneo la tukio niliona binti kaingia kwenye gari na kukanyaga mafuta na kugonga magari mengine.

Jambo la kujifunza kwa wa,iliki wa magari si vyema kuwaachia funguo waoshaji wa magari maana wengi wao hawajui kuendesha na kama wanajua basi huwa si waangalifu wa vyombo vya watu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: