Naibu
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo ( kushoto) akitoa
taarifa kwa umma kuhusu matokeo ya Kamati ya Uchunguzi wa malalamiko
kuhusu matokeo ya mitihani ya kidato cha Sita wa somo la Islamic
Knowledge mwaka 2012 jana (leo) jijini Dar es salaam ambapo makosa
yalitokana na kasoro za kiutendaji na kiufundi na si vinginevyo. Kulia
ni Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Shule Marystella Wassena.
Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments: