Mlango wa kuingia katika Voda House ya Miss Tanzania 2011 kama inavyoonekana, jengohili lipo maeneo ya Mbezi jijini Dar es Salaam, Tanzania.
 Warembo wa Miss Tanzania 2011 wakipokelewa na Mkurugenzi wa mashindano ya miss Tanzania 2011 Hashimu Lundenga akiwa pamoja na Afisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba.

Warembo wa Miss Tanzania 2011 wakiwa katika picha ya pamoja. Kwa matukio zaidi endelea kufuatilia hapa hapa....mtazipataaaaa....
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: