Kutoka kushoto Baraka Baraka Na Frank wa URBAN PULSE.
URBAN PULSE CREATIVE inawaletea cinema fupi inayoitwa KARMA. Sinema hii fupi ilitengenezwa na Baraka Baraka Kutoka Urban Pulse wakati wa masomo kama assignment ya mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha DE MONTFORT hapa mjini Leicester mwaka 2007 ambapo kila mwanafunzi alitakikana kutengeneza stori yenye kueleweka chini ya dakika Nne bila kutumia maneno bali ni vitendo tu. Maudhui ya Sinema hii yametokana na misingi ya Dini ya Kihindu yakimaanisha kwamba kila Tendo lifanywalo huwa na madhara yake. Kwa lugha nyingine inamanisha kuwa Ukianzisha balaa, balaa litakurudia hivyo ni vizuri tukawa tunafikiria mara mbili mbili kabla hatujafanya maamuzi magumu. 

Asanteni, 

URBAN PULSE CREATIVE.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: