Taswira ya karibu inayo onesha Soko la Mwanjelwa jijini Mbeya

 Hizi ni taswira mbali mbali zinazo onesha jinsi ujenzi wa soko kuu la Mwanjelwa ulivyo simama, ulianza kwa kasi lakini kwa sasa hakuna kinacho endelea na miezi kadhaa iliyo pita jengo hilo lilibomoka wakati wanaendelea na ujenzi. Tutaendelea kuwafahamisha zaidi juu ya swala hili

HUU NDIO UBUNIFU WA DARAJA LA JUU KWA WATEMBEA KWA MIGUU WA JIJI LA MBEYA ENEO LA MWANJELWA MIAKA MIWILI IJAYO KAMA ULIVYOBUNIWA NA TAASISI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA, SWALI NI JE ITAWEZEKANA? IKIWA SOKO TUU LINASUA SUA NA LIPO BARABARANI ENEO WANALOTAKA KUWEKA KIVUKO HICHO. Picha zote na-Mbeya yetu Blog.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: