Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na baadhi ya viongozi na waandishi wa Clouds Media Group alipotembelea ofisi za kampuni hiyo Mikocheni Dar es Salaam, leo. Wapili kushoto ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni hiyo, Ruge Mtahaba akimsikiliza kwa makini.

 Nape akionyeshwa na Ruge Studio za Clouds Tv zilivyo za kisasa.
 Cathbert Kajuna mtayarishaji wa jarida la Kitangoma linaloandaliwa na kampuni hiyo, na pia ni mmiliki wa blog hii akimkabidhi Nape nakala ya jarida hilo alipoingia katika ofisi za utayarishaji wa jarida hilo ambalo ni miongoni mwa majarida yanayosisimua sana hapa nchini. Katikati ni Ruge Mutahaba. 

 Mkurugenzi Mtendaji wa Cloud Media Group, Joseph Kusaga (kushoto) akisalimiana na Nape wakati wa ziara hiyo. Katikati ni Ruge. 

 Nape akiagana na Ruge. Kushoto ni Meneja Rasilimali Watu wa kampuni hiyo, Monica.
Ruge akiagana na Nape mwishoni mwa ziara hiyo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: