Kutokana na hali ngumu ya maisha ya ukosefu wa mashine za kusaga!
 Mama tunaomba tukusaidie...hapo inaonyesha watoto wakitaka umsaidia mama yao!
 Viti vya asili!
 Maji...mmm! sijui kama ni salama kwa afya za watumiaji.
 Hali ya usafiri ilivyo tabu ama unavyoona mwenyewe...
 Nyumba za majani na mifugooooo! 
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: