Hawa ndiyo baadhi ya wanamuziki wa nyimbo za injili wanaotamba katika anga za nyimbo za gospel nchini. Toka kushoto ni Christina Mwang'onda, Jennifer Mgendi, Mhe. Martha Mlata, Upendo Nkone na Upendo Kilahilo walipokutana katika hafla moja jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: