

● Nameless
● Ali Kiba
● Radio & Weasle
● Juliana Kayamonzi vijana wa kizazi kipya cha muziki hapa africa
DE PLAIZIR na ALY KIBA bado wanahitaji suport yenu katika kuwapigia kura hatiame waweze kuchukua tuzo ya AFRICA MUSIC AWARDS 2009 zitakazo fanyikia huko London mapema mwakahuu mpaka sasa DE PLAIZIR na ALY KIBA wanaonekana kuongoza katika kura za mashabiki lakini chochote cha weza kutoakea kumbuka vijana hao ndio wanaoleta mabadiliko katika muzikiwetu so jamani kwa pamoja tuwapigie kura vijana wetu.
Toa Maoni Yako:
0 comments: