Bw. Enock Bwigane na Bi. Miriam Lumelezi pamoja na wapambe wao wakiwa wamepozi kwa picha ya pamoja na mchungaji aliewafungisha ndoa yao wakiwa ni wenye nyuso za furaha na bashasha tele katika kanisa la KKKT Azania Front.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: