
Albamu hiyo ina nyimbo 10 ambazo ni Mkatae ama Mkubali, Msilale, Tuwe na Huruma, Wokovu, Udongo bila Maji, Nani katika Mbingu, Nimesogea Pamoja na Ni kwa Neema.
Victor atasindikizwa na wasanii kibao wa Gospel nchini ambao ni pamoja na Bony Mwaitege, Bahati Buku, Christna Shusho, Janeth Benny, Jenifffer Mgendi na Ambwene Mwasongwe Kushoto ni Noel Leonard mratibu wa uzinduzi huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments: