Mgonjwa, Mwalihoba Nyasa, anaye sumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya titi, sasa ameanza kunyonyoka nywele zake kwa madai ya kukokosa chakula kutokana na kutumia dawa kali lakini hapati chakula.
Mtoto Josephiner Obeid aliypooza miguu ni miongoni mwa wagonjwa hao wanaoteseka katika nyumba ya kulala wageni ya Bosco iliyopo Ilala Mchikichini jijini Dar es Salaam kwa kukosa chakula kwa madai ya kutelekezwa na Taasisi ya Redeso.
Mtoto Maulid Yunus anayesumbuliwa na ugonjwa wa kukatika vidole na vidonda miguuni ni miongoni mwa wagonjwa walio katika adha hiyo ya kukosa chakula. 
Mtoto Lucy Angela ambaye anajisaidia kwa kutumia mpira baada ya kutobolewa tumboni naye ni miongoni mwa wagonjwa hao wanaoteseka katika nyumba hiyo ya wageni kwa kukosa chakula 'hakika ukikutana na ndugu zetu hawa unaweza kutokwa na machozi kwani inauma na kutia uchungu'
Mama huyu naye yupo katika mateso hayo, hakika inaumiza.
Watoto hawa nao hawajui cha kufanya wapo katika mateso.
Dada huyu ambaye ni mgonjwa hana la kufanya zaidi ya kumuachia mungu.


Ndugu zetu hawa ambao ni  wakimbizi kutoka Jamhuri ya Watu wa Congo (DRC), ambao ni wagonjwa ambao wanadai wametelekezwa na Taasisi ya Msaada wa Maendeleo ya Jamii (Rudeso), yenye makao yake Kinondoni, wakiwa nje ya nyumba ya kulala wageni ya Bosco iliyopo Ilala Mchikichini Dar es Salaam leo. Inadaiwa kuna zaidi ya wakimbizi 100 waliopo jijini wanaishi katika mazingira ya shida baada ya kutelekezwa na taasisi hiyo.

Dotto Mwaibale

WAKIMBIZI zaidi ya 100 wanaokabiliwa na magonjwa mbalimbali, wametelekezwa na Taasisi ya Msaada na Mandeleo ya Jamii (Redeso) ambayo ni wakala wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR), baadhi yao wameanza kunyonyoka nywele kutokana na kukosa chakula, kwa muda wiki moja sasa.

Mtandao wa www. habari za jamii.com leo ulifanikiwa kuwatembelea wakimbizi hao ambao wapo katika Hotel mbalimbali zilizopo Ilala na Kinondoni katika nyumba za wageni Eritex na Bosco ambapo wamehifadhiwa hapo wametokea Kambi ya Nyarugusu Mkoani Kigoma kwa lengo la kupatiwa matibabu  katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam.

Wakiongea kwa nyakati tofauti na mtandao huo wakimbizi hao ambao ni wagonjwa  walisema wamekuwa wanateseka kwa muda sasa jambo ambalo wanaliona kuwa linahatarisha maisha yao.

Walisema pamoja na kutoa taarifa kwa wahusika ambao ni Redeso hadi sasa hawajapatiwa msaada wowote hivyo kujikuta wakinywa dawa  bila kula chakula hali ambayo inawaletea madhara.

Mgonjwa, Mwalihoba Nyasa, anaye sumbuliwa na ugonjwa wa kansa titi alisema ameanza kunyonyoka nywele zake kwa madai ya kukokosa chakula kutokana na kutumia dawa kali.

"Hii si afya yangu na sikuwa hivi siwezi kubeba chochote na afya yangu imeendelea kuteteleka na nywele zangu zimeanza kunyonyoka kutokana na kukosa chakula" alisema Nyasa.

Mmoja wa wakimbizi hao alisema baadhi yao wanamagonjwa ya kansa, kupoza, ukoma na magonjwa mengine ambayo ni hatari iwapo hakutakuwa na utaratibu mzuri wa kuwapatia chakula ili dawa ziweze kufanya kazi.

Baadhi ya wakimbizi hao ambao ni wagonjwa ni Sango Nyasa (36), Josephiner Obeid (15), Kashindi Alfan (47), Andhurin Elisha (5), Muhambo Msana (7), Maulid Yunus (5), Jane Kabeza (30), Lucy Kashindi (11) na Mwalihoba Nyasa (37) ambaye anasumbuliwa na kansa ya titi.

"Jamani tunaomba msaada kwani hali zetu ni mbaya mmoja wetu ameshapoteza maisha kutokana na tatizo hilo tunaomba msaada hata kwa serikali ya Tanzania," alisema.

Aidha alisema wanawaomba wasamaria wema wengine kujitokeza kuwasaidia msaada wa chakula kwani kwa sasa hawakopeki kutokana na kukosa fedha.

Alisema wanapaswa kupata shilingi elfu 70 kila mmoja kwa wiki kwa ajili ya chakula lakini hali hiyo imekuwa kinyume kwa takribani wiki nzima.

Mkimbizi huyo alisema iwapo hakuna juhudi ambazo zitachuliwa upo uwezekano mkubwa wakimbizi hao kupoteza maisha.

Akizungumza kuhusu jambo hilo mmoja wa maofisa wa Taasisi ya  Redeso, Neema Malulu alisema yeye sio msemaji na kumtaka mwandishi awaulize UNHCR kwani wao ndio wanatoa fedha.

"Mimi sio msemaji, kazi yangu ni kuwapatia fedha wakimbizi hao baada ya kupewa na UNHCR hivyo ni vema ukawaulize wao," alisema Malulu.

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Pereira Ame Silima alisema mimi ndio nampa taarifa hizo na kudai kuwa suala hilo linawahusu UNHCR hivyo waulizwe wao.

"Upo uwezekano wa kuwepo hapa kama ulivyosema ila wanao husika na watu hao ni UNHCR nadhani itakuwa vema ukiwauliza wao kwanini hawawapatii chakula wakimbizi hao," alisema Silima.

Jitihada za  kuwapata watu wa UNHCR kwa ufafanuzi ziligonga ukuta kwani kila simu yao ilipokuwa ikipigwa walikuwa wahawapokei simu. 

Ndugu zetu hawa katika kupigania maisha yao awali walikuwa wakienda kukopa vyakula katika maduka ya jirani na wanapoishi lakini baada ya kuona hawalipi wenye maduka hayo wamesitisha kuwasaidia ambapo baadhi yao wanadaiwa kuanzia shilingi 45,000 hadi 50,000.

Ndugu wasomaji kwa yeyote atakayeguswa na kupenda kuwasaidia ndugu zetu hawa ambao licha ya kuwa katika hali ya ugonjwa hasa hao watoto ambao wanapita katika kipindi kigumu kutokana na taasisi hiyo kushindwa kuwapatia chakula kwa wakati unaweza kwenda katika nyumba ya kulala wageni ya Bosco wanapo jihifadhi kwa ajili ya kupeleka chochote ulichonacho iwe matunda, nguo, unga, sabuni, mafuta ya kula na vitu vingine ambavyo utaona vinafaa kwani kutoa ni moyo na si utajiri. Okoa maisha ya wapendwa wetu hawa kwa kutoa ulichonacho kwani mpendwa wao mmoja aitwaye Maua tayari ametangulia mbele za haki kwa kile walichodai ni kukosa chakula. Kama utapenda kupata maelezo zaidi wasiliana na Mwandishi Dotto Mwaibale kwa namba ya simu 0712-727062,0786858550 na 0754-362990.
Tiba kwa kutumia maji
Hamuwezi kuamini! maradhi mengi Mwenyezi Mungu amejaalia tiba yake ni kunywa maji, shukrani zote ni zake..

Umoja wa Matabibu wa Japan wametangaza utafiti wao wa kutibu maradhi kwa maji na matokeo yake yamefanikiwa kwa aslilimia 100, kwa maradhi yafuatayo:

kichwa, presha, anaemia (upungufu wa damu) ugonjwa wa viungo, kupooza, kuzima kwa moyo, kifafa,unene, kikohozi, kuumwa koo, pum, kifua kikuu,uti wa mgongo, na mradhu yeyote yanayohusiana na njia za mkojo, asidi nyingi,kufunga choo,na maradhi yote yanayohusiana jicho, sikio na koo, pia kwa wanawake wasiopata ada ya mwezi kwa mpangilio

Njia ya kutibu kwa maji

Amka mapema asubuhi kila siku na kunywa glasi nne(4) za maji, glasi ya kiasi cha mil 160. Kunywa wakati tumbo halina kitu na wala usile wala usinywe kabla ya kupita dakika 45 , na usile wala usinywe masaa mawili yanayofuatia chakula.

Kuna baadhi ya watu au wagonjwa na wazee hawataweza kunywa glasi nne za maji kwa wakati mmoja, hawa wanaweza wakaanza kidogo kidogo huku wakiongeza kunywa mpaka wafikie kiwango kilichopendekezwa kwa wakati mfupi.

Na matokeo yamethibiti kwamba tiba ya maji imeleta ponya na maradhi yafuatayo kwa muda maalum kama inavyoonyeshwa hapa chini:
*Maradhi ya sukari siku 30
*Kupanda presha siku 30
*Matatizo ya tumbo siku 10
*Saratani mbali mbali miezi 9
*Kifua kikuu na uti wa mgongo miezi 6
*Kufunga choo siku 10
*Matatizo ya njia za mkojo na figo siku 10
*Matatizo ya pua, sikio na koo siku 20
*Matatizo ya ada za mwezi kwa wanawake siku 15
*Matatizo mbali mbali ya moyo siku 30
*Maumivu ya kichwa siku 3
*Anaemia(upungufu wa damu) siku 30
*Unene miezi 4
*Kifafa na kupooza miezi 9
*Matatizo ya kuvuta pumzi miezi 4
The Economist Events will be hosting their Health Care in Africa Summit in Dar es Salaam, Tanzania at the Hyatt Regency, The Kilimanjaro on November 18th and 19th 2014.

Drawing together the key stakeholders representing the continents entire health care spectrum, attendees will discuss the key issues, challenges and opportunities facing health care in Africa.

The latest addition to the high-powered speaker line-up is Dr Joanne Liu, international president of Médecins Sans Frontières. Dr Liu will speak about the current Ebola outbreak gripping the continent and will focus on her organisation’s efforts at the front line.

Senior stakeholders from leading African and international political and commercial organisations, will showcase the most comprehensive views on the sector to help form opinions that will shape the health care agenda for this rapidly developing continent.

Vivek Muthu, Health Care Director, The Economist Intelligence Unit (EIU), who will be chairing the event comments: “This year’s Health Care in Africa theme is “Fast-tracking to the future.” Africa’s health care systems are at a critical turning point. The reforms that governments undertake over the next decade will be crucial to cutting mortality rates and improving health outcomes in the continent. Together, we will look at current challenges and promising reforms, share knowledge and spark action”.

Building on the success of previous events in the series, Health Care in Africa 2014 will focus on learning lessons from Africa’s successes to accelerate progress, looking at how to adopt and adapt elements of best practice and – crucially – what is needed in terms of political leadership, planning and partnerships to ensure these elements form part of a functioning and forward-looking healthcare system.

Notable key speakers expected to speak at the event include: Hon Dr Agnes Binagwaho, Minister of Health, Republic of Rwanda; HE Bahar Idris Abu Garda, Federal Minister of Health, Republic of Sudan; Hon Dr Seif Seleman Rashidi, Minister for Health and Social Welfare, United Republic of Tanzania; Ashwin Naik, Chief Executive Officer and Co-founder, Vaatsalya Healthcare, India; Frank Nyonator, Chief Executive Officer, Health Streams International, Ghana; Salim Abdullah, Director, Ifakara Health Institute, Tanzania; Liza Kimbo, Chief Executive Officer, Viva Afya, Kenya; Hiiti B. Sillo, Director General, Tanzania Food and Drugs Authority.
CCM Chairman President Jakaya Mrisho Kikwete walks to the conference hall with the two principal rival leaders - President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of SPLM in government and Mr. Riek Machar Teny, former vice president and leader of the SPLM-in-Opposition, ready for the Monday 20th October, 2014 ready for the signing ceremony of the framework agreement aimed at addressing root causes of the South Sudan conflict that erupted in mid-December and plunged the country into violent crisis. 
CCM Chairman President Jakaya Mrisho Kikwete leads  to the high table  the two principal rival leaders - President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of SPLM in government and Mr. Riek Machar Teny former vice president and leader of the SPLM-in-Opposition
CCM Chairman President Jakaya Mrisho Kikwete and CCM Secretary General Abdulrahman Kinana at  the high table  with  President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of SPLM in government and Mr. Riek Machar Teny 
Mr Pagan Amum Okech, representing SPLM in government, makes his opening remarks
Part of the conference hall during the ceremony
Former Tanzania Vice President and Prime Minister Mr John Samwel
Malecela, who chaired the talks, is introduced
A relaxed atmosphere as the CCM Chairman President Jakaya Mrisho Kikwete and CCM Secretary General Abdulrahman Kinana engage in pep talks before the start of the proceedings at  the high table  with  President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of SPLM in government and Mr. Riek Machar Teny as Former Tanzania Vice President and Prime Minister Mr John Samwel Malecela, who chaired the talks
A relaxed atmosphere as the CCM Chairman President Jakaya Mrisho Kikwete and CCM Secretary General Abdulrahman Kinana engage in pep talks at  the high table  with  President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of SPLM in government and Mr. Riek Machar Teny as Former Tanzania Vice President and Prime Minister Mr John Samwel Malecela, who chaired the talks
Mr. Pagan Amum Okiech of  the SPLM-in-Opposition makes his remarks



Mr. Pagan Amum Okiech of  the SPLM-in-Opposition makes his remarks
Mr Daniel Awek Okot of the SPLM-in-Government delivers his statements 
Tanzania Minister for Foreign and Internationa Relations Mr Bernad Membe steers the meeting
CCM Secretary General Mr Abdulrahman Kinana makes his statements
CCM Secretary General Mr Abdulrahman Kinana addresses the delegates

CCM Secretary General Mr Abdulrahman Kinana speaks on
Factions of the ruling party in South Sudan, the Sudan Peoples’ Liberation Movement (SPLM), on Monday 20th October, 2014 signed a framework agreement aimed at addressing root causes of the conflict that erupted in mid-December and plunged the country into violent crisis.

The signing ceremony, held at the Ngurdoto Mountain Lodge in the outskirts of Arusha, was witnessed by the two principal rival leaders - President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of SPLM in government and Mr. Riek Machar Teny, former vice president and leader of the SPLM-in-Opposition, as well as the SPLM faction of former detainee, who also participated in the talks.

The Chairman of the Tanzania's ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM), President Jakaya Kikwete, CCM Secretary General Mr Abdulrahman Kinana, Tanzania Minister for Foreign and Internationa Relations Mr Bernad Membe, and Former Tanzania Vice President and Prime Minister Mr John Samwel Malecela, who chaired the talks, also witnessed the occasion.

Delegates of the three rival groups of the South Sudanese ruling party met in Arusha from 12th to 18th of this month to try to come up with the framework of the intra-SPLM dialogue which is being facilitated by CCM.

The framework agreement highlighted preamble, principles, objectives and agenda that will be discussed in the intra-party dialogue. It also included rules of engagement and role of CCM.

However, it said the process is distinct from the peace talks which take place in Addis Ababa, Ethiopia.

"The parties recognize that the Arusha process is essentially an intra-SPLM dialogue and is separate and distinct from the IGAD mediated peace talks among South Sudanese stakeholders.

"Yet the parties are fully aware that the two processes, although separate, are mutually interdependent and reinforcing,” partly reads a communiqué.

The document recommits the parties to the principles of democracy, internal democracy especially on matters of decision making, elections, succession and peaceful transfer of power.

It further calls for “unity of SPLM as a safeguard against fragmentation of the country along ethnic and regional fault lines.”

“Initiate measures to stop the war, lead the government and the people of South Sudan towards peace, stability and prosperity,” it further urges.
Both leaders expressed their commitment to the intra-party dialogue that would reunite the divided historical party.

The document was signed by senior officials of the rival factions, namely Daniel Awet Akot, Peter Adwok Nyaba and Pagan Amum Okech, representing SPLM in government, SPLM-in-Opposition and SPLM former detainees, respectively.

The agreement serves as a roadmap for further negotiations in trying to reunite the ruling party and end the war, with guiding principles and objectives for further discussions and possible resolutions.

The governance crisis within the SPLM gave birth to the 15 December violence which has unfortunately plunged the country into the current national crisis or civil war.

The intra-party dialogue provides a supplement to the peace talks in Addis Ababa to try and address the root causes of this conflict within the ruling party.

The framework agreement has also recognized the need to “revitalize, reorganize, strengthen and restore the SPLM to its vision, principles, political direction and core values.

Analysts say the dialogue, could provide an avenue for progress on key issues, including deep divisions between South Sudanese party leaders, if respected.


Akifafanua kuhusu suala la umri, mratibu wa mashindano hayo Hashim Lundenga amesema kuwa cheti halali walichonacho wao ni kile kinachoonesha Sitti Mtemvu kazaliwa 24 mei 1991 na si vinginevyo.

Kuhusu suala la passport na leseni zilizosambaa kwenye mitandao ya jamii zikionesha amezaliwa mwaka 1989, Lundenga amesema wao huwa hawangaali vitu hivyo wanachojali ni cheti cha kuzaliwa.

Kuhusu tuhuma za unene amesema wao huwa hawaangalii wembamba wala ufupi, muhimu ni awe na vigezo vinavyotakiwa.
 Meneja Rasilimali watu Airtel Bi Sophia Melamari akiongea wakati wa uzinduzi wa wiki ya Rasimali watu uliofanyika katika Ofisi za makao makuu ya Airtel ambapo wafanyakazi watapata fulsa ya kupata elimu juu ya sera kuhusu mafao mbalimbali na haki yao za kimsingi na huduma nyinginezo zinazotolewa na kusimamiwa na kitengo cha Rasilimali watu, hafla ya uzinduzi huo imefanyika katika ofisi za Airtel Moroko leo
Mkurugenzi wa Kitengo cha Rasilimali watu Airtel Tanzania Patric Foya akiongea wakati wa uzinduzi wa wiki ya Rasimali watu uliofanyika katika Ofisi za makao makuu ya Airtel ambapo wafanyakazi watapata fulsa ya kupata elimu juu ya sera kuhusu mafao mbalimbali na haki yao za kimsingi na huduma nyinginezo zinazotolewa na kusimamiwa na kitengo cha Rasilimali watu, hafla ya uzinduzi huo imefanyika katika ofisi za Airtel Moroko leo
 Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania Bw. Sunil Colaso akiongea na wafanyazi wakati wa uzinduzi wa wiki ya Rasimali watu uliofanyika katika Ofisi za makao makuu ya Airtel ambapo wafanyakazi watapata fulsa ya kupata elimu juu ya sera kuhusu mafao mbalimbali na haki yao za kimsingi na huduma nyinginezo zinazotolewa na kusimamiwa na kitengo cha Rasilimali watu, hafla ya uzinduzi huo imefanyika katika ofisi za Airtel Moroko leo
Mchekeshaji na mshereheshaji maarufu kama MC Pilipili akitoa burudani kwa wafanyakazi wa Airtel wakati wa uzinduzi wa wiki ya Rasimali watu iliyozinduliwa mahususi kwa wafanyakazi wa Airtel kupata elimu juu ya sera na huduma mbalimbali zinazotolewa na kusimamiwa na Kitengo cha Rasilimali watu, hafla ya uzinduzi huo imefanyika katika ofisi za Airtel Moroko leo.
Wafanyakazi wa Airtel wakifurahia burdani toka kwa Mchekeshaji na mshereheshaji maarufu kama MC Pilipili wakati wa uzinduzi wa wiki ya Rasimali watu iliyozinduliwa mahususi kwa wafanyakazi wa Airtel kupata elimu juu ya sera na huduma mbalimbali zinazotolewa na kusimamiwa na Kitengo cha Rasilimali watu, hafla ya uzinduzi huo imefanyika katika ofisi za Airtel Moroko leo.
Baadhi ya wafanyakazi wa kitengo cha rasilimali watu cha Airtel Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa wiki ya Rasilimali watu iliyozinduliwa rasmi jana katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es saalam,
 Meneja Masoko, Mawasiliano na Elimu kwa Umma kutoka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) Bw. Josephat Kimaro akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu  kueneza Mkakati  wa Usajili na Kutoa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Wanafunzi wa Manispaa ya Kinondoni na Temeke baada ya kumaliza Manispaa ya Ilala. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Maelezo Bi Fatma Salum.
Baadhi ya waandishi wa habari wakisikiliza taarifa ya mafanikio kutoka kwa  Meneja Masoko, Mawasiliano na Elimu kwa Umma wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) Bw. Josephat Kimaro leo jijini Dar es Salaam. Picha na MAELEZO.

Na Fatma Salum- Maelezo

Jumla ya wanafunzi 15,120 wa shule za Msingi na Sekondari katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wameweza kusajiliwa na kupata vyeti vya kuzaliwa kupitia Mkakati wa Usajili na Kutoa Vyeti vya Kuzaliwa unaotekelezwa na Wakala wa Usajili,Ufilisi na Udhamini (RITA).
Hayo yamesemwa na Meneja Masoko, Mawasiliano na Elimu kwa Umma kutoka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) Bw. Josephat Kimaro wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.

 “Mkakati huu umeonesha mafanikio makubwa kwani mpaka sasa wanafunzi 15,120 wamepata vyeti vya kuzaliwa wakiwemo wasichana 7,712 na wavulana 7,408 kutoka shule 201 za Manispaa ya Ilala ambapo 201 ni shule za Msingi na 96 ni Sekondari.” Alisema Kimaro. 

Akifafanua zaidi kuhusu mkakati huo uliozinduliwa mwezi Aprili mwaka huu Kimaro alisema umelenga kusogeza huduma karibu na wananchi kwa kuwapatia wanafunzi vyeti vya kuzaliwa wakiwa shuleni badala ya wazazi kuvifuata kwenye Ofisi za RITA. 

Aidha umesaidia kuongeza uelewa kwa wanafunzi, wazazi na walezi kuhusu umuhimu wa cheti cha kuzaliwa kwani wazazi wengi wameshawishika kufanya usajili na kupata vyeti kwa ajili ya familia nzima. 

Pia Kimaro aliongeza kuwa baada ya mkakati huo kufanikiwa katika Manispaa ya Ilala RITA inatarajia kuendeleza katika Manispaa za Temeke na Kinondoni mnamo mwezi Januari 2015 zikifuatiwa na Manispaa nyingine za Tanzania Bara. 

Akitoa wito kwa wazazi na walezi Kimaro amewataka kutumia fursa hiyo kuwapatia vyeti watoto wao wanaosoma katika shule ambazo program inatekelezwa kwani hutumia mfumo rahisi kwa gharama nafuu na mtoto hupata cheti halisi. 
Na Mwandishi Wetu, Handeni

WADAU wa mambo ya utamaduni yakiwamo mashirika, makampuni na watu mbalimbali wameombwa kujitokeza kuliwezesha tamasha la Handeni Kwetu 2014, lililopangwa kufanyika Desemba 13 mwaka huu wilayani Handeni, mkoani Tanga.

Tamasha hilo linafanyika huku mwaka jana likiwezeshwa kwa kiasi kikubwa na Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa ushirikiano na wadau mbalimbali walioliwezesha tamasha hilo kwa mara ya kwanza katika Historia ya Mkoa wa Tanga.

Akizungumza mjini hapa, Mratibu Mkuu wa Tamasha hilo, Kambi Mbwana, alisema kuwa wadhamini wakijitokeza kwa wingi kutaongeza chachu ya maendeleo ya nchi, sanjari na sanaa ya utamaduni inayotakiwa kuungwa mkono na watu wengi.

Alisema kuwa kitendo cha wadhamini kuendelea kuliunga mkono Tamasha hilo kutachangia kwa kiasi kikubwa kuinua uchumi wa nchi pamoja na kutangaza utamaduni wa Mtanzania.

“Mwaka jana wadau wengi walijitokeza kuliwezesha tamasha la Handeni, wakiwamo NSSF, hivyo tunaomba msimu huu pia tuendelee kushirikiana kuliwezesha Tamasha la Handeni Kwetu litakalofanyika Desemba 13 mwaka huu, Handeni Mjini.

“Hadi wakati huu, walioonyesha nia ya kulisaidia tamasha la Handeni Kwetu 2014 ni pamoja na SmartMind & Partners iliyopo chini ya Anesa Co. Ltd kwa kupitia kitabu chao cha Ni Wakati wako wa Kung’aa, Phed Trans, chini ya Yusuphed Mhandeni, Handeni Kwetu Foundation, Wait & Watch Film Company Ltd, Qs Mhonda J Apex Group of Companies Ltd na Skyblue Security and Risk Mgt Ltd,” alisema Mbwana.

Tamasha la Handeni Kwetu ni miongoni mwa matukio makubwa ya kiburudani mkoani Tanga, ambako zaidi ya watu 500 walihudhuria tamasha hilo ambalo kwa mwaka huu mipango kabambe ya kuhakikisha kuwa linafanyika kwa mafanikio.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na IGP Ernest Mangu wakati akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo tayari kuanza ziara rasmi ya siku sita katika Jamhuri ya Watu wa China kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymond Mushi wakati akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo tayari kuanza ziara rasmi ya siku sita katika Jamhuri ya Watu wa China kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na maafisa wa Ubalozi wa China nchini Tanzanioa wakati akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo tayari kuanza ziara rasmi ya siku sita katika Jamhuri ya Watu wa China kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping.

PICHA NA IKULU
---
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Oktoba 21, 2014, anaanza ziara rasmi ya siku sita katika Jamhuri ya Watu wa China kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping, ikiwa ni ziara yake ya pili nchini humo akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Baada ya China, Rais Kikwete atafanya ziara rasmi ya siku tatu nchini Vietnam kwa mwaliko wa Rais wa nchi hiyo.

Wakati wa ziara yake nchini China, Rais Kikwete ambaye aliondoka nchini usiku wa jana, Jumatatu, Oktoba 20, 2014, atatembelea majimbo matatu ya nchi hiyo, atafanya mazungumzo na viongozi wakuu wa China, atashuhudia utiaji saini mikataba muhimu ya shughuli za maendeleo, atatunukiwa shahada za heshima na atashiriki katika sherehe za miaka 50 tokea kuanzishwa kwa uhusiano wa kibalozi kati ya Tanzania na China.

Rais Kikwete amepangiwa kukutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Xi Jinping; Waziri Mkuu Mheshimiwa Li Keqiang pamoja na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Watu wa China, Mheshimiwa Zhang Dejiang.

Rais Kikwete pia atashuhudia utiaji saini wa mikataba ya miradi ya maendeleo ya Tanzania ambayo inasaidiwa ama inagharimiwa na fedha kutoka China na pia atakutana kwa mazungumzo na wakuu wa taasisi muhimu zinazogharimia baadhi ya miradi mikubwa ya maendeleo katika Tanzania zikiwamo China-Africa Development Fund (CADB) na China Development Bank (CDB).

Akiwa Beijing, Rais Kikwete atakutana na Mabalozi wa Afrika wanaoziwakilisha nchi zao katika China, atafungua Mkutano wa Tatu wa Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na China na atazindua rasmi Kijiji cha Kiafrika.

Aidha, Rais Kikwete atatunukiwa uprofesa wa heshima na Chuo Kikuu cha Kilimo cha China cha China Agricultural University na Chuo Kikuu cha East China Normal University na pia atakuwa mwenyeji wa hafla maalum ya kusherehekea miaka 50 ya uhusiano wa kibalozi kati ya Tanzania na China. Uhusiano huo ulitimiza miaka 50, Aprili 26, mwaka huu, siku ambako Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia ilitimiza miaka 50 ya kuzaliwa kwake.

Baada ya kumaliza ziara yake Beijing, Rais Kikwete atatembelea Jimbo la Jinan ambako atashuhudia maonyesho rasmi ya kijeshi ya Jeshi la Ukombozi la Wananchi wa China la Chinese People’s Liberation Army (PLA) lililoandaliwa rasmi kwa heshima yake. Hiyo itakuwa mara ya kwanza katika historia kwa heshima ya namna hiyo kutolewa kwa kiongozi wa nchi yoyote duniani, nje ya China.

Akiwa Jimbo la Jinan, Rais Kikwete pia atakutana na viongozi wa Jimbo hilo na pia atakutana kwa mazungumzo na madaktari wa Kichina ambao wamefanya kazi katika Tanzania katika miaka 50 iliyopita.

Baada ya Jimbo la Jinan, Rais Kikwete atakwenda Jimbo la Shenzhen ambako atatembelea makao makuu ya taasisi na makampuni makubwa ya China ya Shenzhen Economic Zones Authority, China Merchants Holdings International (CMHI), Huawei na ZTE. Shenzhen ndiko Watanzania wengi wanaonunua bidhaa kutoka China hufanyia biashara zao.

Mara ya mwisho, Rais Kikwete alitembelea China mwaka 2008 wakati alipoliwakilisha Bara la Afrika katika Mkutano wa Kwanza wa China-Afrika katika nafasi yake wakati huo kama Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU).
 wakulima wa zao la Shayiri kutoka Vyama Nane vya Ushirka vya wilaya ya Karatu na Monduli mkoani Arusha wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kusikiliza maelezo namna ya kulima Shayiri yenye ubora kutoka kwa Meneja  Mradi Kilimo cha Shayiri Dk. Basson Bennie. Wakulima hao walifurahia ziara iliyofanywa kwenye Kiwanda cha kuzalisha Kimea kilichopo mjini Moshi ambapo waliahidi kulima Shayiri yenye ubora zaidi katika msimu ujao.
 MENEJA wa Kiwanda cha Kimea - Moshi, Vitus Mhus akiwaonyesha hatua ya kwanza ya zao la Shayiri linalotumika kutengenezea kimea mahali linapopokelewa kabla ya kuanza kuingizwa kiwandani.Wakulima hao kutoka Vyama Nane vya Ushirika vya wilaya ya Karatu na Monduli mkoani Arusha walitembelea kiwandani hapo hapo juzi ili kujifunza na kujionea zao wanalolima linaandaliwa vipi hadi kutengeneza Kimea
 Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Bia nchini (TBL), Edith Mushi akiwapa maendelekezo wakulima wa zao la Shayiri waliotembelea Kiwanda cha kuzalisha Kimea mjini Moshi namna ya kutembelea ndani ya kiwanda ili wajionee namna Shayiri inavyozalishwa na kuwa Kimea.Wakulima hao wanatoka kwenye vyama Nane vya Ushirika vilivypo wilaya ya Karatu na Monduli mkjoani Arusha

 Meneja wa Kiwanda cha Kimea-  Moshi Vitus Mhusi akiwaonyesha wakulima wa Shayiri waliofanya ziara ya kutembelea kiwanda hicho namna uchafu unavyochambuliwa kutoka kwenye Shayiri wanayolima mashambani, ambapo aliwaomba kujitahidi kuhakikisha inakuwa safi wakati wa mavuno.
Meneja wa Kiwanda cha Kimea kilichopo Moshi, Vitus Mhusi akiwaonyesha wakulima wa Shayiri namna Kimea kinavyozalishwa wakati wa ziara yao kiwandani hapo. Vingozi hao wa Vyama vya Ushirika Nane kutoka wiayani Monduli na Karatu mkoani Arusha walitembelea kiwandani hapo kwa leng la kujifunza zaidi namna ya kulima zao la Shayiri lenye ubora zaidi na hata kufikia mahitaji ya kiwanda ya Tani 12,000
DSC_0574
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, John Haule akiteta jambo na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez.
---
Na Mwandishi Wetu

KATIBU MKUU wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, John Haule amesema serikali ya Tanzania imefikia kwa kiwango kikubwa baadhi ya malengo ya milenia ya afya na elimu. MOblog Tanzania inaripoti.

Akizungumza katika mahojiano maalumu na MOblog Tanzania ofisini kwake jijini Dar es Salaam baada ya kumaliza mkutano na wanahabari juu ya wiki ya Umoja wa Mataifa inayotarajiwa kuanza Ijumaa wiki hii, Haule amesema Tanzania imeyafikia kwa kiwango kikubwa malengo ya milenia katika afya na elimu.

“Serikali ya awamu nne kwa kiwango kikubwa imefikia baadhi ya malengo ya milenia hasa katika elimu na afya kwa kujenga shule za msingi na sekondari katika kila kata na vituo vya afya nchi nzima,” amesema Haule.

Amesema kwamba Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana kwa karibu na Umoja wa Mataifa katika kufikia maendeleo katika kila nyanja duniani.

Aliongeza kwamba ni muhimu nchi zote duniani kuendelea kushirikiana kwa pamoja ili kuhakikisha maendeleo yanayopatikana yanapatikana kwa pamoja na hakuna nchi inayoachwa nyuma.

Haule alisisitiza kwamba katika kuadhimisha wiki ya Umoja wa Mataifa serikali itaendelea kutoa ufafanuzi kwa wananchi umuhimu wa kushiriki kikamilifu katika kila jambo linalofanya na Umoja wa Mataifa.

“Umoja wa Mataifa unatimiza miaka 69 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1945 mafanikio mengi yamepatikana na changamoto bado zipo nyingi lakini nchi zote wanachama wa Umoja wa Mataifa wataendelea kushirikiana na umoja huu kutimiza lengo kuu la maendeleo dunia nzima,” alifafanua
DSC_0564
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, John Haule (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu wiki ya Umoja wa Mataifa inayotarajiwa kuanza kuadhimishwa Ijumaa wiki hii (kushoto) ni Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez.
---
Amesema kwamba katika mpango mkakati wa Umoja wa Mataifa juu ya malengo mapya ya kuanzia mwaka 2015-2030 serikali imejipanga kuhakikisha malengo hayo yanafikiwa kwa kiwango kikubwa.

Kwa upande wake, Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez, amesema kwamba Umoja wa Mataifa itaendelea kushirikiana na nchi zote wanachama ikiwemo Tanzania katika harakati za kuondoa umaskini.

“Malengo ya milennia yamefanya nchi nyingi wanachama kufanya kazi kwa bidii katika kupunguza umaskini wa kipato, fursa ya elimu na upatikanaji wa matibabu kwa njia nafuu kwa maelfu ya watu duniani,”

Aliongeza kwamba katika kauli mbiu ya Umoja wa Mataifa ya kuhakikisha kwamba hakuna mtu anayeachwa nyuma katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii inalenga kuwakutanisha pamoja nchi zote katika kila hatua ya maendeleo dunia nzima.

Rodriguez amesema kwamba Umoja wa Mataifa na malengo yake ni kuhakikisha usawa wa kiuchumi na kijamii unafikiwa katika jamii pana iliyo huru kwa kumshirikisha kila mtu katika maamuzi ya maendeleo.
Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa mashindano ya Urembo ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga (kati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya sakata la umri halali wa Mrembo alietwaa taji hilo Mwaka huu, Sitti Abbas Mtemvu (kushoto),katika mkutano huo Lundenga alitolea ufafanuzi swala la umri wa Mrembo huyo kulingana na vilelezo alivyopewa na mrembo huyo wakati akijiunga na mashindano hayo.
"Katika mashindano ya yetu,Washiriki wote hujaza fomu maalum zilizoandaliwa na Kamati ya Miss Tanzania,katika fomu alizojaza mrembo wa Miss Tanzania 2014 Sitty Abbas Mtemvu amejaza tarehe yake ya kuzaliwa ambayo ni Mei 31,1991 na hivyo kuwa ni sahihi kushiriki mashindano yetu" Alisema Lundenga mbele ya wanahabari hao.

Lundenga aliendelea kusema kuwa Mashindano ya Miss Tanzania hayaruhusu mshiriki yeyote mwenye mtoto kushiri,hivyo katika swala la Sitti Mtemvu kuwa ana mtoto,hilo kalina ukweli wowote bali ni uvumi tu wa kwenye mitandao ya kijamii baada ya Mrembo huyo kuonekana akiwa katika picha na mtoto alieomba kupiga nae.
Hiki ndiyo cheti...
Cheti cha Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu.
Katika Hali isiyo ya Kawaida leo Mkurugenzi wa Rino International Agency ambao ni Waratibu wa mashindano ya Urembo ya Miss Tanzania Hassim Lundenga ameshndwa kujibu maswali ya waandishi wa habari pale alipoanza kujikanyaga wakati akifafanua juu ya kashfa za zinazomkabili Miss Tanzania 2014 Sitti Abbas Mtemvu.

Akizungumza na Waandishi wa Hababari jijini Dar es Salaam leo Oktoba 21, 2014 Lundenga alisema kuwa wao si wapelelezi wa jambo lolote ambalo linazungumziwa katika mitandao juu ya mambo mbali mbali yaliyokuwa yakizungumzwa, naanza kusema Sitti hana elimu ya Masters hilo la masters sijui mtatoa wapi???

Lundenga amejikanyaga mwanzo mwisho wakati wa mkutano hio hali iliyopelekea kunyesha mwenye majinzi huku watu wakitafsiri kuwa anawadanganya waandishi...

Jambo lingine ambalo limewasikitisha waandishi ni jinsi Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu alipojikanyaga kanyaga kujibu maswali na kusema kuwa yeye hayupo tayari kuzungumzia lolote na hayo yote mliyoyazungumzia ni uongo na mengine maisha yake binafsi.