Msanii wa vichekesho Lucas Mhavile a.k.a Joti akitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack.
Wasanii kutoka Shinyanga stand wakitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama, wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack
Msanii wa vichekesho Masanja akitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack
Msanii wa vichekesho mpoko akitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack
Msanii wa Bongo freva Mwana FA akitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack
Wananchi wakishangilia kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: