Msanii Qeen Darleen akiogeshwa wakati akisherekea siku yake ya kuzaliwa ambapo kwa sasa jijini Dar es Salaam kumezuka mchezo wa kumwagiana maji miongoni mwa 
wasanii pindi wanaposherekea siku zao za kuzaliwa, jambo linalowafanya wengine wapate ukakasi kujitangaza kuwa wanaadhimisha miaka kadhaa.
Hapa Msanii huyo akijaribu kuingia mitini bila ya kujua pa kwenda ili kukwenda ndoo za maji zilizokuwa zikimkabili.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: