Mkuu wa kitengo cha mawasiliano kwa Umma, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Nsachris Mwamaja (kushoto anayepiga makofi)

Na Mwandishi Wetu.

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeeleza kushtushwa na tukio la kutupwa kwa viungo hivyo na kusema inafuatilia kwa karibu upelelezi wa polisi ili kuchukua hatua.

Akizungumza na mwandishi wetu, mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa wizara hiyo, Nsachris Mwamaja alisema jana kuwa tukio hilo ni kinyume na kanuni na sheria za kitabibu, kwani hakuna sehemu yoyote inayoruhusu mwili wa binadamu kutupwa kama ilivyotokea.

“Hatuwezi kulizungumzia sana, tunaweza kuharibu upelelezi, hebu tuache tusubiri polisi watatupa majibu gani.”
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: