Watu wanne wamefariki dunia papo hapo leo Saa kumi usiku alfajili Julai 31, 2014 baada ya Kuangukiwa na Lori la mizigo, Lililopindukia katika mto njia panda ya kuelekea Ilembula, Njombe. Picha zote www.njombe-yetu.blogspot.com
 Lori hilo la mizigo likiwa limedondoka Chini ya Mto njia panda ya Ilembula huku  watu wanne wakiwa wamefunikwa.
 Baadhi ya mizigo ikiwa imedondoka katika mto
 Hivi ndivyo Lori linavyo onekana likiwa limedondoka chini ya mto eneo la njiapanda Ilembula
 Kazi ya uokoaji ikiwa imeanza
 Lori la mizigo likiwa limedondoka
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: