Mashabiki wa Diamond wakiserebuka barabarani wakati wa mapokezi yake.
Mpenzi wa Diamond, Wema Sepetu akihojiwa.
Mama yake Diamond akiwa amebeba zawadi ya mwanae.
Na Waandishi wetu

Msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, leo amepokelewa na msafara kama wa rais na watu wa maeneo alikozaliwa Tandale jijini Dar baada ya kushuka kwenye ndege akitokea kwenye tuzo za Afrimma zilizotolewa nchini Marekani.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: