Nyumba ambazo zipo Kinondoni eneo la Ada Estate zikiwa zimejaa maji kutokana na mvua iliyonyesha jana usiku kuamkia leo Alhamis Machi 27, 2014.
 Eneo la Bestbite barabara ya Kinondoni Biafra via Bestbite ikiwa imejaa maji kutokana na mvua iliyonyesha jana usiku kuamkia leo Alhamis Machi 27, 2014.
Ukiangalia pembeni ni jengo ambalo imo Nyumbani Lounge ambapo hakupitiki kutokana na maji kujaa.
 Jengo la Yanga Uwanja wa Jangwani jijini Dar es Salaam ukiwa umejaa maji kutokana na mvua iliyonyesha jana usiku kuamkia leo, ambapo imeleta kizaa zaa... kila sehemu kuziba na kuleta mafuriko.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: