Ofisa Maendeleo ya Jamii Idara ya Kuondoa Umasikini, William Ghupi akimpa maelezo Naibu Waziri, Janet Mbene juu ya huduma anuai zinazotolewa na kitengo hicho kilichopo chini ya Wizara ya Fedha. Ofisa Masoko Benki ya Posta, Godbright Mlay akimpa maelezo Naibu Waziri Wizara ya Fedha, Janet Mbene juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo. Ofisa Mradi wa Huduma ya Popote Akounti, Catherine Ntangeki akimkabidhi Naibu Waziri, Janet Mbene kadi ya benki ya akaunti ya popote mara baada ya kufungua, katika banda la Wizara ya Fedha. Ofisa Utumishi wa GPSA, Leah Yeriko akimfisha beji yenye nembo ya taifa Naibu Waziri, Janet Mbene alipotembelea banda hilo. Naibu Waziri wa Wizara ya Fedh, Janet Mbene akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Wizara ya Fedha leo. Naibu Waziri Wizara ya Fedha, Janet Mbene akiwa katika taasisi ya TIA, akipokea maelezo juu ya huduma anuai zinazotolewa na banda hilo, anaezungumza (kwanza kulia) ni Ofisa Mawasiliano wa TIA, Lilian Mpanju. Ofisa Masoko Muandamizi, wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi (GEPF), James Mlowe akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri, Mbene juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na mfuko h  Naibu Waziri Wizara ya Fedha, Janet Mbene akiondoka katika banda la wizara ya Fedha mara baada ya kutembelea taasisi mbalimbali zilizopo chini ya Wizara ya Fedha.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: