05/01/2011 - 06/01/2011
World Alliance of Citizen Participation urges the international community to act on deeply concerning human rights abuses by certain transnational corporations as the final report of Prof John Ruggie, the UN Special Representative on Issue of Human Rights and Transnational Corporations and Other Business Enterprises, was submitted to the UN Human Rights Council on Monday.

"In an increasingly globalised and interlinked world we believe that there is a real necessity for UN member states to standardise practices in relation to business compliance with human rights through the adoption of a universally binding framework," said CIVICUS UN Representative, Renate Bloem.

We remain deeply anxious about the activities of trans-national corporations and other business enterprise resulting in human rights abuses, including the right to a clean and healthy environment; access to land and natural resources; and adequate and decent standards of work, Bloem said.

In a submission, CIVICUS has referred to the "failure" of state-owned business to uphold human rights standards when operating outside their state jurisdictions. According to CIVICUS Policy Manager, Mandeep Tiwana: Professor Ruggies report fails to articulate the duty of states to regulate the overseas activities of businesses domiciled within their own jurisdiction, in accordance with the position taken by the UN Committee on Economics, Social and Cultural Rights."

"We are concerned about the role played by certain corporations in propping up or supporting undemocratic governments as we all as state actors who fail to respect the international human rights framework," Tiwana said, calling on UN member states to consider the issue in "right earnest" and enforce a human rights approach to business practices.

CIVICUS has also called for an end to the "deafening silence" in the report concerning the role of civil society in driving human rights accountability in businesses. Trade unions, non-government organsiations, charities, community foundations, religious bodies and social movements remain pivotal players in challenging the established impunity of rogue corporations" and holding them to account.

"We consider Professor Ruggie's report to be a first step towards strengthening the relationship between business practices and universal human rights," CIVICUS said." But it can be much more and need to be much more than a compilation of ideals for selective information and application by states."
The Israeli occupation government has revealed a plan to further Judaize occupied Jerusalem and change demographic realities under the pretext of propping up the economy of the city.

The Prime Minister’s office has announced recently the government’s intention to approve the spending of over 80 million dollars to carry out what it called “a comprehensive economic plan” over the next five years.

The plan, which is considered by Palestinian parties a noticeable escalation of the Judaisation of the holy city, is to implement a number of projects that will change the face of the city and to encourage new segments of Israeli society to settle in it.
Afisa uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Jacksom Mmbando akimkabidhi dawati la majani (lapdesk) kwa diwani wa kata ya Segerea Azuri Mwambagi (katikati) kwaajili ya wanafunzi wa shule ya msingi ya Misewe ya jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Rotary Club North ya Dar es Salaam Massimo Tognetti ambao pia walishirikiana na Tigo kutoa msaad huo. Jumla ya madwati 1000 na viti 1000 vilikabidhiwa jana shuleni hapo.
Afisa Uhusiano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Jackson Mmbando akiwa na wanafunzi wa shule ya Msingi ya Misewe ya Ilala jijini Dar es Salaam mara baada ya kampuni hiyo kwa kushirikian na Club ya Rotary North ya Dar es Salaam kukabidhi madawati 1000 ya mapajani (lapdesks) na viti 1000 kwa shule hiyo.
Afisa Uhusiano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Jackson Mmbando akiwaonyesha wanafunzi wa shule ya Msingi ya Misewe jinsi ya kutumia madawati ya mapajani (lapdeks) mara ya kukabidi madawati hayo katika shule hiyo jijini Dar es Salaam jana.

Mei 31, 2011, Dar es Salaam. Katika jitihada zake za kusaidia sekta ya elimu nchini Tanzania, kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kwa kushirikiana na Club ya Rotary North ya jijini Dar es Salaam imetoa msaada wa viti 1000 na madawati 1000 katika shule ya Msingi ya Misewe ya Ilala jijini Dar es Salaam.

Kampuni ya Tigo na Rotary Club North wamefikia umamuzi wa kutoa msaada huo kwa kuthamini umuhimu wa elimu ya shule ya msingi. Halikadhalika kwa kuzingatia kuwa watoto wa leo ndiyo watakuwa viongozi wa kesho kwahiyo ni vyema kuwaboreshea mazingira ya elimu.

Afisa uhusiano wa Tigo Jackson Mmbando alisema “ Tunajisikia furaha sana kuwasaidia watoto hawa ambao ni viongozi wa kesho ili kupunguza tatizo lao la kukaa chini wakati wakiwa madarasani wakipata elimu yao ya kila siku.

Alisema kuwa lengo la kutoa msaada huo hasa ni kusaidia badhi ya shule za msingi ambazo zimekuwa na hukosefu wa madawati na kuongezea kuwa msaada huo utaendela kutolewa katika shule nyingine za msingi zenye uhaba wa madawati.

Akiongea katika utaoji wa madawati, diwani wa Segerea bw Azuri Mwambagi alishukuru sana kwa msaada wa madawati yamapajani ikitoka kampuni ya simu ya mkononi Tigo na viti vikitoka Rotary International. Aliongezea kwamba makampuni mengine yafanye wanavyofanya Tigo na Rotary International na kwa sasa wanahitaji madawati 18,000 na siyo jukumu ya serikali tu lakini yawatanzania kusaidia watanzania wenzao.

Naye akiongea kwa niaba wa Rotary, gavana msaidizi bw Massimo Tognetti alisisitiza haja yakuendeleza elimu Tanzania. Rotary International ni taasisi yakimataifa na zaidi ya wanachama million 1.2 na mbinu zake za msingi ni “kufanya mema katika dunia hii” ikiwafaniskisha warotaria katika ulimwengu kuelewa, kuwa na moyo, ukarimu, na amani kwa njia ya afya njema, msaada wa elimu na kupunguza umaskini. Hii ni hatua nyingine kuelekea katika malengo ya Rotary ikiboresha elimu na kuandika nchini Tanzania na tumefurahi kushirikiana na Tigo katika kutimiza malengo.

The Fashion 4 Vision annual Masquerade ball is A Charity fundraising cum advocacy event aimed at not only fundraising but advocating the need for a right to all Tanzanians to have a healthy vision. This annual event shall be the lion’s club signature event where by it shall bring all leaders from various sectors in Tanzania under one roof for one purpose serving the society to sight for life.

The Lions Club of Dar Host and the Lions Club of Mzizima, the two clubs who have joined forces to work together on this Campaign, zeal and zest to serve have saved various lives by proving FREE eye check up clinics to the public through out Tanzania.


“A world devoid of Colour is synonymous to having a meal without flavor. The fashion industry is vibrant vivacious and colorful industry and through the eye for detail and perfection, the industry brings about fantasy which is completely unknown to some, who may have lost sight due to a mere reason of not having access to Eye treatment, a neglected aspect of health care. “Stated Mustafa Hassanali

Observing these Lions working, true Knights f Blind a phrase coined by Hellen Keller, her- self blind in a speech, her request to the Lions “I appeal to you Lions, you who have your sight; your hearing; you who are strong, brave and kind. Will you not constitute yourselves Knights of the Blind in this crusade against darkness?”


Inspired Lions Clubs International to adopt the Sight Conservation and Work with the Blind Program as a major service initiative.-

From Helen Keller’s Address to Lions, 1925 International Convention

Thus the name Fashion 4 Vision is inspired by the conglomeration of two subsidies the need to serve , and the need to bring the fashion industry to use its various hues to save sights of the most vulnerable poverty stricken people in our society. Thus using Fashion 4 Health’s slogan, a brand by Mustafa Hassanali an enterprising Designer cum philanthropist with a medical background to join forces with lions’ club to host Fashion 4 Vision advocating Sight is life.

Fashion 4 Vision, Annual Charity Masquerade Ball by Lions club of Dar Host and Mzizima will be held on 11 June 2011 at the Kempinski hotel from 7.30Pm Onwards. The ball shall include Fashion Show by Mustafa Hassanali and Jamilla Vera Swai, gala Dinner and Dance. The Proceeds from this event shall go towards the Lions Club Save your Sight Campaign.

“I look so forward to not only showcase my creation but also making a difference in an individuals life, by supporting the lions movement of saving sight and assist in this fundraiser” stated Jamilla Swai.

The Fashion 4 Vision Annual Masquerade Ball is powered by Exim Bank Which is also supported by Club Bilicanas, Coca cola, Global Outdoor Systems, 2M Media, Lotus Creative Concepts, Choice Fm , Clouds TV, Fashion 4 Health and 361 Degrees.


“As part of solidarity to the save the sight campaign, we urge all attending the ball to Bring Along their Mask be it Venetian or African as united we stand” Concluded Hassanali.

Vodacom Miss Dar Indian Ocean 2011, Stella Robert akipunga mkono kwa furaha baada ya usiku wa kuamkia leo kutawazwa kuwa Malkia wa Kitongoji hicho alipowashinda wanyane wengine 10 waliokuwa wakiwania taji lililokuwa likishikiliwa na Alice Luchiku Miss Kinondoni 2010.

Miss Dar Indian Ocean 2011, Stella Robert (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washindi wengine wanafasi ya pili Hamisa Hassan (kulia) na Renada Apoley baada ya kutangazwa washindi katika nafasi hizo.Walimbwende wakidance katika ufunguzi kama unavyoona pichani.

MCHAKATO wa Kuendeleza mchezo wa ngumi za Ridhaa Katika MKoa wa Kimichezo wa ILALA, unatarajiwa kuingia katika hatua nyingine Juni 4 kati ya klabu ya ngumi ya Amana na Matimbwa,

Mapambano hayo ya raundi nne, yanatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Panandi Panandi uliopo bungoni Wilaya ya ILala ambapo mabondia wanne kutoka katika kila klabu, watachapana makonde.

Mabondia wa Amana watakaopanda siku hiyo ni IBrahimu Class Kg.64, Khalfani Othumani Kg 57, Kassimu Sambo Kg 54, na Saidi Ally Kg 48. Klabu ya Matimbwa itawakilishwa na MOhamedi Matimbwa Kg 64, MOhamedi Muhani Kg 57, Edson Joviki Kg 54 na Mohamedi Kumbilambali Kg 48.

Akizungumza Dar es Salaam leo Mratibu wa mapambano hayo ambae pia ni kocha wa mchezo wa ngumi akishirikiana na Kinyogoli Foundition, Rajabu Mhamila Super D, Alisema mpango huo utaendelea mpaka wahakikishe wamefanikiwa kuibua vibaji na kuviendeleza.

Alisema tangu waanze mpango wa kuandaa mapambano mkohani humo wamefanikiwa kurudisha hamasa ya mchezo huo mkoani humo na kuwataka wadau mbalimbali kutoa sapoti kwa mchezo huo ili upate kuendelea ambapo Super D alitoa mfano wa vitu wanavyoviitaji ikiwemo posho za nauli kwa wachezaji vifaa vya kuwatia moyo na zawadi mbalimbali kwa
mabondia.

Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya KR akitumbuiza katika tamasha la Tigo Pesa lililofnyika juzi katika viwanja vya Furahisha mjini Mwanza. Tamasha hili lilikuwa maalum kwa ajili ya kuhamasisha matumizi ya huduma ya Tigo Pesa inayotolewa na kampuni ya Tigo.Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Juma Nature akitumbuiza katika tamasha la Tigo Pesa lililofnyika juzi katika viwanja vya Furahisha mjini Mwanza. Tamasha hilo lilikuwa maalum kwa ajili ya kuhamasisha matumizi ya huduma ya Tigo Pesa inayotolewa na kampuni ya Tigo.

Wateja wakijiandikisha kwenye Tigo Pesa katika tamasha la Tigo Pesa lililofanyika juzi katika viwanja vya Furahisha mjini Mwanza. Tamasha hilo lilikuwa maalum kwa ajili ya kuhamasisha matumizi ya huduma ya Tigo Pesa inayotolewa na kampuni ya Tigo.

Na mwandishi wetu.

Katika mkakati wake wa kuboresha huduma kwa wateja wake, Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo juzi ilifanya tamasha maalum jijini Mwanza kwa ajili ya kuhamasisha mtumizi ya huduma ya Tigo Pesa inayotolewa na kampuni hiyo.

Tamasha hilo lililofanyika katika viwanja vya Furahisha lilipambwa na burudani za wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya kutoka Dar es Salaam akiwemo Juma Nature na Godzilla.

Tamasha hilo pia lilitoa fursa kwa wateja wa Tigo kujisajili katika huduma ya Tigo Pesa na kujishindia zawadi mbalimbali kutoka Tigo zikiwemo simu za mkononi, muda wa maongezi na pesa taslimu. Halikadhalika wateja wa Tigo walipata kujinunulia simu mpya za Tigo zenye huduma ya mtandao wa Facebook kwa bei nafuu.

Akiongea katika tamasha hilo, Afisa Uhusiano wa Tigo Jackson Mmbando alisema kuwa wameamua kufanya tamasha la namna hiyo ili kuongeza hamasa kwa wateja wake ili wajiunge katika huduma ya Tigo Pesa na huduma nyingine zinazotolewa na mtandao wa Tigo.

Matamasha mengine kama hiyo ya kuhamasisha matumizi ya Tigo Pesa, na huduma nyingine za Tigo yamekwishafanyika katika mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Morogoro.

“Hii ni njia mojawapo ya kuwajali wateja wetu lakini hata pia kuwasogezea huduma zetu nyingine, kwa mfano leo kuna simu zinauzwa kwa bei ya punguzo kwahiyo kupitia tamasha hili mteja wetu anaweza kujinunulia simu mpya yenye mtando wa Facebook kwa bei rahisi” Alisema Mmbando.

Aidha Mmbando aliongezea kusema kuwa tangu huduma hiyo ya Tigo Pesa imezinduliwa , imekuwa ikiboreshwa mara kwa mara ambapo kwa sasa pamoja na kutuma hela pia mteja anaweza kulipia bili zake za DSTV na Luku.

Katika kurahisisha huduma ya Tigo Pesa, Mmbando alisema kuwa wameanzisha utaratibu wa kuwatumia mawakala wanaozunguka sehemu mbalimbali na kuwahudumia wateja, hali ambyo alisema kuwa inarahisish upatikanaji wa huduma za Tigo kwawateja wake wakati wote.

Mshindi wa Serengeti Fiesta Freestyle 2011 kutoka mji kasoro bahari (Morogoro) amepatikana, ameonyesha kipaji cha kufreestyle kwa kiwango cha juu kabisa, anaitwa Rota Flavian Komba ndiye aliyeibuka kinara wa msimu wa dhahabu wa unaoendelea na Serengeti Fiesta Freestyle 2011 ndani ya mji wa Morogoro jioni ya leo. Kufuatia ushindi huo Rotas atakwenda jijini Dar kupambana na vinara wengine kutoka mikoa mingine katika mpango mzima wa kutimiza kilele cha msimu wa dhahabu na Serengeti Fiesta 2011 ndani ya jiji la Dar es Salaam.

Vijana wamefanikiwa kuingia hatua ya 16 bora katika katika Serengeti Fiesta Freestyle ndani ya mji karoso bahari. Baada ya majaji kufanya kazi kazi ngumu ya kutoka vijana 42 mpaka kufika 16.Hali kadhaLika akina dada wameosha mwamko sana katika Serengeti Fiesta Freestyle. Huku akifuatiliwa kwa makini na Mratibu wa Serengeti Fiesta Freestyle, Ruben Ndege ambaye ni mtangazaji wa Clouds Fm 88.5 mji kasoro bahari.Mratibu wa Serengeti Fiesta Freestyle, Ruben Ndege ambaye ni mtangazaji wa Clouds Fm 88.5 mji kasoro bahari.

Mratibu wa Serengeti Fiesta Freestyle, Ruben Ndege ambaye ni mtangazaji wa Clouds Fm 88.5 mji kasoro bahari akimtambulisha jaji Jaji Zavara Mponjika wa Kwanza Unite ndani ya Four Stars Club mji kasoro bahari.Kijana machachali Raymond kutoka Clouds Tv akiweka mambo vyema.Majaji wa Serengeti Fiesta Freestyle, kutoka kulia ni Squeezer toka Zizzou Entertainment pamoja na Zavara Mponjika wa Kwanza Unite.Mtangazaji wa Clouds Fm 88.5 kwa mji kasoro bahari Dj Fetty (kulia) na Ruben Ndege wakiwa pamoja pamoja na jaji Squeezer wakijadili jambo.

Umati wa vijana waliohudhuria.

Mtangazaji wa Clouds Fm 88.5 Dj Fetty akitangaza ‘live’ katika Serengeti Fiesta Freestyle ndani ya mji karoso bahari. Huku akiwa amezungukwa na vijana ambao wanafuatilia shindano hilo.

Hakika watu wamejitokeza kwa wingi katika Serengeti Fiesta Freestyle ndani ya mji karoso bahari Clouds Fm 88.5, mpaka sasa vijana wameanza kuchana na wamepatikana 42. Vile vile unaweza kusikiliza ‘live’ Clouds Fm 88.5 mji kasoro bahari bila chenga kupata kinachoendelea kutoka ndani ya mji kasoro bahari.

no image
Na Mwandishi Wetu

KUNDI la muziki wa taarabu la Malindi Ikwan Nadia Safaa linatarajiwa kutua jijini Dar es Salaam na kutumbuiza katika ukumbu wa Travertine Ijumaa wiki hii.

Mratibu wa onesho hilo liliandaliwa na Chezntembaa, Abbas Hussein, Cash Money alisema kuwa, kundi hilo likiwa chini ya mwanamuziki mkongwe Profesa Elias litatoa burudani ya nguvu ya muziki wa asili.

Aliwataja wanamuziki wengine watakaoandamana na kundi hilo ni Fauzia Abdallah, Ally Masoud, Sada Mohamed, Sheria Issa Masoud Mfaume, Bamba, Salum Hamis, MUhamed Issa Matona, na Rukia Ramadhani.

Alisema onesho hilo ni la kuazimisha miaka 106 tangu kuanzishwa kwa kundi hilo kongwe kwa muziki wa taarabu Zanzibar.

Alisema katika onesho hilo kutakuwa na wanamuziki waalikwa ambao watatoa burudani ya kuindikiza Malindi Ikwan Nadia Safaa ambao ni Afua B52, Patricia Hillary na Shakila Said.

Alisema kuwa onesho hilo lilidhaminiwa na Konyagi na Redd's kutakuwa zawadi mbalimbali kwa mashabiki watakaocheza vizuri, kiingilio ni sh.5,000

Hatimaye kundi la Morogoro Youth Universe of Talents (MYUT) limefanikiwa kubeba bendera ya mji kasoro bahari katika mashindano ya Serengeti Dance la Fiesta ambalo limemalizika katika ukumbi wa For Stars Club mjini hapa. Kikundi hicho ambacho kilionyesha umahili mkubwa wa kucheza hakina itatambulisha vyema mji huo.Ushindani na ubunifu ulikuwa wa hali ya juu.Watu waliojitokeza kuhudhuria Serengeti Dance la Fiesta.Majaji wa Serengeti Dance la Fiesta kutoka kulia ni B-12, Mtangazji wa Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam, anafuatiwa na Msami kutoka Tanzania House of Talent pamoja na muandaaji wa kipindi cha ‘Step Up Player’ cha Clouds Tv, Isakwisha Thomson.Kikundi cha Myuti kikitambulishwa. Katika hatua ya kwanza makundi yapatayo manne yamejitokeza kupambana na kutapatikana kundi moja litakaloshinda na kuwakilisha mkoa wa mji kasoro bahari katika mashindano ya Serengeti Dance la Fiesta litakalohitimishwa jijini Dar es Salaam.Kikundi cha Gentlemen kikionyesha umahili wake wa kudance.Kikundi cha Moro Squred wakionyesha umahiri wake katika kudance.

Kikundi cha Kabolate nacho kikiwa tayari baada ya kumaliza kukamua.Mratibu wa mashindano haya Serengeti Dance la Fiesta, ambaye ni mkuu wa vipindi kutoka redio Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam, Sebastian Maganga (kulia) kulia akiweka mambo sawa pamoja na Mtangazaji wa redio Clouds Fm Ruben Ndege ambaye ni Mratibu wa Serengeti Fiesta Freestyle.Watu waliojitokeza kuhudhuria Serengeti Dance la Fiesta.

Mtangazaji wa Clouds Tv, Babu wa Kitaa ambaye pia ni MC wa Serengeti Dance la Fiesta akijjaribu kuwapa maelekezo washiriki waliojitokeza kushiriki katika shindano la kudance ndani ya mji kasoro bahari.

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Bonta (aliyenyenyua mikono) akiwahimiza wenzake wapige sala kabla hajaigia kwenye steji kushusha vitu.

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Bonta akizindua albamu yake iliyokwenda kwa jina la 'Kila Kitu Nyerere' ndani ya Four Stars Club mjini Morogoro ambapo alisindikizwa na G Nako Lord Eyez, Sha bang, J Thug, Adili Chapakazi, Nick wa Pili , Joh Makini pamoja na Mwanadada Pipi.Msanii wa muziki wa Hip Hop, Joh Makini akiwasha moto pamoja na G Nako.Msanii wa muziki wa Hip Hop, G Nako akiwa pamoja na Lord Eyez.Mashabiki waliohudhuria uzinduzi albamu wa Msanii wa Hip Hop Bonta inayoitwa 'Kila Kitu Nyerere' ndani ya Four Stars Club mjini Morogoro.Msanii wa muziki wa bongo flava, Pipi akiwasha moto ndani ya ndani ya Four Stars Club mjini Morogoro.Msanii wa muziki wa Hip Hop, Lord Eyez akiwa anawachengua mashabiki ambao wamemzunguka.Mashabiki waliohudhuria uzinduzi albamu wa Msanii wa Hip Hop Bonta inayoitwa 'Kila Kitu Nyerere' ndani ya Four Stars Club mjini Morogoro.

Wasanii wa muziki wa Hip Hop, kutoka kulia ni Adili Chapakazi, Bonta, Sha bang, Pipi pamoja na Nick wa Pili ndani ya uzinduzi wa albamu Bonta inayokwenda kwa jina la 'Kila Kitu Nyerere' ndani ya Four Stars Club mjini Morogoro.
Kushow Love ilikuwemo pia, hapo ni Wasanii wa muziki wa Hip Hop Joh Makini na Bonta wakiwa na washikaji zao.
Msanii wa muziki wa Hip Hop, G Nako, Joh Makini pamoja na Sha bang.